info@jkmzanzibar.org +255 777 854 182
Support us

News and Updates

Tangazo la kujiunga na Madrasa

TANGAZO LA KUJIUNGA NA MADRASA JIMBO LA NUNGWI

Jenga akhera yako kwa kupata maaarifa ya kumjua mola wako

Jumuiya ya Kuendeleza Madrasa Jimbo la Nungwi inautangazia umma kujiunga nasi katika safari yetu ya kuelimisha na kukuza jamii yetu. Tunatoa fursa za kujiunga na mafunzo ya kiislamu.

  • Elimu: Madrasa yetu inajivunia kuwa na walimu wenye uzoefu na programu iliyoboreshwa kutoa elimu bora kulingana na miongozo ya kidini na kitaifa.
  • Mazingira: Tunatoa mazingira salama na yenye kuheshimu utamaduni na mila zetu za kidini.
  • Ngazi za Masomo: Ngazi ya Mutawasitwa na Thanawy

Jinsi ya Kujiunga:

Fomu za kujiunga na chuo zinapatikana chuoni wakati wa saa za kazi

Tarehe ya Kujiandikisha: Kujiandikisha inaendelea

Mahali: Madrasa Jimbo la Nungwi, Kilindi Nungwi Zanzibar

Kwa maelezo zaidi na kujiandikisha, wasiliana nasi kwa:

Simu: +255 (0)77 381 494
Barua pepe: info@jkmzanzibar.org

Jiunge nasi leo na kuwa sehemu ya jamii iliyoelimika na inayojenga kesho bora!

Jumuiya ya Kuendeleza Madrasa Jimbo la Nungwi
Hata wewe unaweza kujiunga na masomo haya, fika chuoni/wasiliana ili upate utaratibu